×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Francis Atwoli ahimiza haja ya mazungumzo baina ya serikali na upinzani

23rd January, 2018

Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini COTU Francis Atwoli, amehimiza haja ya mazungumzo baina ya serikali na upinzani ili kupunguza joto la siasa nchini. Akizungumza baada ya kufanya kikao na bodi ya COTU, Atwoli alionya dhidi ya wanasiasa kuendeleza misimamo mikali na kuwataka Rais Uhuru Kenyatta na raila Odinga kuzingatia mazungumzo ili kuweka mazingira bora ya biashara na maendeleo.

.
RELATED VIDEOS