×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Cleopa Mailu ameahidi kwamba ripoti kuhusu madai ya ubakaji katika hospitali ya Kenyatta itatolewa

23rd January, 2018

Hayo yakijiri, waziri wa afya daktari Cleopas Mailu ameahidi kwamba ripoti kuhusu madai ya ubakaji katika hospitali ya Kenyatta itatolewa kwa umma hapo kesho. Akihutubu baada ya mkutano na kamati ya afya bungeni huko Mombasa, waziri Mailu amesema tayari amepokea ripoti ya uchunguzi kutoka kwa bodi ya hospitali ya Kenyatta, na kuwa anayosubiri sasa ni ripoti kutoka kwa idara ya upelelezi wa jinai. 

.
RELATED VIDEOS