×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jubilee kimewatimua wabunge wanne kwenye usimamizi wa kamati za bunge

23rd January, 2018

Chama cha Jubilee hatimaye kimewatimua wabunge wanne kwenye usimamizi wa kamati za bunge katika bunge la taifa. Wanachama wa kamati zao waliafikia kuunga mkono hoja ya kutokuwa na imani na wabunge hao Alfred Keter, Silas Tiren, Kangogo Bowen na James Gakuya huku kiongozi wa walio wengi katika bunge la taifa Aden Duale akisema ndio mwanzo tu kwa Jubilee kuongoa mizizi ya uasi chamani

.
RELATED VIDEOS