Utumizi wa madoli kama njia ya kuwavutia wateja hasaa wanaonunua nguo ni jambo lililoenea
22nd January, 2018
Utumizi wa madoli kama njia ya kuwavutia wateja hasaa wanaonunua nguo ni jambo lililoenea hapa nchini. Hata hivyo, kumekuwa na mdahalo tata kuhusu utumizi wa madoli hayo maalum ya kuuza nguo.