×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bodi simamizi ya hospitali ya kitaifa ya Kenyatta imeagiza kuimarishwa kwa usalama

22nd January, 2018

Bodi simamizi ya hospitali ya kitaifa ya Kenyatta sasa imeagiza kuimarishwa kwa usalama katika hospitali hiyo kufuatia tuhuma za ubakaji zilizoripotiwa na kina mama waliojifungua. Kwenye taarifa yake, bodi hiyo chini ya uongozi wa mwenyekiti Mark Bor  wameagiza kuajiriwa kwa maafisa wa usalama kutoka kampuni za kibinafsi pamoja na kutoa ombi kwa polisi kuongezwa katika hospitali hiyo. aidha taarifa hiyo imeshikilia kuwa uchunguzi unaendelea kwa makini  ili kubaini na kuwachukulia hatua za kisheria wahusika.

.
RELATED VIDEOS