×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mzozo umeendelea kutokota kuhusu usimamizi wa kamati za bunge

22nd January, 2018

Mzozo umeendelea kutokota kuhusu usimamizi wa kamati za bunge huku hoja hiyo ikitarajiwa kujadiliwa. Hata hivyo upande wa upinzani umekariri kuwa hautahudhuria kikao hicho wakati wabunge wakiendelea kumlaumu rais kenyatta kwa kuchangia mtafaruku huu

.
RELATED VIDEOS