×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mazishi ya Omollo:Alikuwa mwanamuziki bingwa

20th January, 2018

 

        Wanamuziki wa kale na wa sasa walihudhuria mazishi ya

        mwenzao Gabriel Omollo iliyofanyika kwake katika kijiji cha

        Nyabeda, Kaunti ya Siaya.Omolo ambaye alianza

        kunawiri kimuziki katika miaka ya sitini na kutambulika sana

        kwa wimbo wa lunch time, aliaga dunia mapema mwenzi huu

        akipata matibabu katika hospitali ya rufaa ya

        Busia. Wanamuziki wakongwe waliuelekea kidole cha lawama

        serikali kwa kukosa kuzingatia hali ya wanamuziki wakiwa

         wazima

.
RELATED VIDEOS