×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mavazi Stahiki: Vyuo na Afisi Tanzania zatoa mwongozo baada ya marufuku dhidi ya nguo fupi

20th January, 2018

 Vyuo vikuu na ofisi za umma nchini Tanzania zina muongozo

        maalumu  wa mavazi unaozingatiwa na watanzania wote na

        pia wageni wanaohitaji huduma katika ofisi hizo za umma,

        hivyo unapozuru ofisi za umma za nchi hiyo ni sharti

        kuzingatia muongozo huo kama anavyoarifu rajabu hassan

        akiwa Dar es salaam nchini Tanzania.

.
RELATED VIDEOS