17th January, 2018
Kisanga kimeshuhudiwa katika eneo la Malava baada ya wakaazi kupata jeneza lenye mwili wa mtoto lililofukuliwa katika darasa la shule moja eneo hilo, ambayo imekuwa ikishuhudia visa vya ushirikina kwa miaka kadhaa. Mwanahabari wetu Wily Lusige anatuarifu