×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wabunge wa muungano wa NASA waafikia kutia sahihi hati kiyapo cha uapishaji wa Raila Odinga

17th January, 2018

Wabunge wa muungano wa NASA wameafikia kutia saini hati kiapo kama hakikisho kwamba wako tayari na wanaunga mkono uapisho wa Raila Odinga na Kalonzo Musyoka. Haya yanajiri huku tetesi zikiibuka kwamba baadhi ya wanachama wa vyama tanzu wanachelea kushiriki uapisho huo. Na kama anavyoarifu Jeff Kirui chama cha Wiper kinasema kipo tayari kwa mazungumzo na upande wa Jubilee 

.
RELATED VIDEOS