.
17th January, 2018
Edith Vethi Nyenze ? mjane wa aliyekuwa mbunge wa Kitui magharibi Francis Nyenze ndie atakayepeperusha bendera ya chama cha Wiper kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwezi machi mwaka huu. Vethi alimshinda mpinaani wake wa karibu Maluki Kitili ambaye ni mwanawe mwanasiasa mkongwe Nyiva Mwendwa na mwanahabari mwenzangu Murimi Mwangi alizungumza naye vethi kuhusu azma yake kwenye siasa.