×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Ali Roba aahidi kukumbana na ufisadi Mandera baada ya kupokea ripoti

17th January, 2018

Kaunti ya Mandera imepokea ripoti ya jopokazi lililobuniwa kuchunguza madai ya ufisadi kwenye idara mbalimbali za usimamizi wa kaunti. Miongoni mwa yaliojitokeza kwenye ripoti hio ni kuwa kaunti hio ina wafanyikazi hewa takriban 100, ambao wanapokea mishahara kila mwezi. Tayari wafanyikazi 24 wamesimamishwa kazi huku kaunti ikiahidi kutekeleza mapendekezo ya ripoti hio huku wahusika wakichukuliwa hatua za kisheria.

.
RELATED VIDEOS