×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtoto afariki hospitali ya Tenwek kutokana na madhari ya chanjo kaunti ya Bomet

17th January, 2018

Mtoto mmoja amethibitishwa kufariki huku wengine wakiendelea kulazwa katika hospitali ya Tenwek kwa kile kinaaminika kuwa athari ya chanjo waliyopokea katika hospitali moja mjini Bomet. Kwa mujibu wa daktari wa watoto katika hospitali ya Tenwek, watoto hao wanne walifikishwa hospitalini wakiwa na uchungu na uvimbe kwenye maeneo waliyodungwa chanjo. Sasa serikali ya Bomet imelazimika kuahirisha utoaji chanjo uliopangiwa kufanyika ijumaa ili kutoa nafasi ya uchunguzi. 

.
RELATED VIDEOS