×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanaharakati wa haki za kibinadamu Ken Wafula aaga dunia kaunti ya Uasin Gishu

17th January, 2018

Mwanaharakati wa haki za binaadam mjini Eldoret Ken Wafula amefariki dunia mapema leo. Wafula anafahamika sana kwenye harakati zake kuhusu mashahidi wakati wa kesi za Kenya zilipokuwa zikiendelea katika mahakama ya jinai ya ICC mjini the Hague. Elvis Kosgei na maelezo zaidi.

.
RELATED VIDEOS