×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ombi la kutaka utekeketaji uhalalishwe yawasilishwa kortini Machakos

17th January, 2018

Ombi la kutaka ukeketaji uhalalishwe limewasilishwa kwa mara ya pili mbele ya mahakama kuu ya Machakos. Daktari tatu kamau anashikilia kuwa tamaduni hiyo ni chaguo la mtu mzima wa kike kama ilivyo tohara kwa wanaume. Ni kesi ambayo imeibua mdahalo mkali nchini, hasaa ikizingatiwa kuwa imewasilishwa na mtaalamu wa matibabu. Mark Namaswa anatuarifu zaidi

.
RELATED VIDEOS