×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kijana asalia na risasi mguuni baada ya kupigwa na risasi na polisi

16th January, 2018

Familia ya kijana wa miaka kumi na tisa kaunti ya Kisumu inalilia haki ikihofia mwana wao aliyepooza kufuatia jeraha la risasi alilopata wakati wa makabiliano kati ya polisi na wakazi wa Nyalenda wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Chrispine Ochieng, mwanafunzi wa kidato cha nne alipigwa risasi wakati huo, na sasa amesalia na risasi kwenye paja lake la kushoto

.
RELATED VIDEOS