KTN Leo - 15th January 2017 - Sehemu ya Kwanza - Muhogo wa Sumu
15th January, 2018
Watoto wawili wamefariki na wengine watatu wakipokea matibabu baada ya kula muhogo wenye sumu Kaunti ya Siaya. Watoto waripotiwa kula muhogo huyo walioandaliwa na baba yao ambaye hakufahamu aina ya muhogo aliyewapa wanawe.