×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Samboja aponea shoka la mahakama

15th January, 2018

Kesi iliyokuwa ikipinga ushindi wa gavana wa taita taveta Granton Samboja imetupiliwa mbali na jaji wa mahakama kuu ya voi Eric Ogola. Jaji Ogola alisema kuwa kesi hiyo iliyowasilishwa na wapiga kura haikufikisha kiwango cha sheria kinachohitajika. Wafuasi wa samboja walifurahia uamuzi huo wa mahakama.  Wafuasi hao walijaribu kuzuia gari la miguna miguna  ambaye walitaka kujua sababu yake kuwa mahakamani. Aliyewasilisha kesi alikuwa ametilia shaka stakabadhi za elimu za Samboja. Samboja alichaguliwa katika uchaguzi wa agosti nane kwa Chama cha Wiper.

.
RELATED VIDEOS