×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Fahari ya Madogashe: Shule ya wanafunzi wa kike yafunguliwa Garissa

14th January, 2018

Wakazi wa eneo la Modogashe Kaunti ya Garissa sasa wana

        kila sababu ya tabasamu baada ya kufunguliwa kwa shule ya

        kwanza ya upili kwa wasichana. Kufunguliwa kwa shule hii

        kumetoa matumaini makubwa kwa jamii hiyo ambayo

        wasichana wengi wamekosa kujiunga na shule kutokana na

        kuwepo kwa shule pekee ya upili inayojumuisha wanafunzi

        wa kike na kiume. 

.
RELATED VIDEOS