13th January, 2018
Mchezaji wa zoo kericho, kikosi ambacho kilimaliza katika
nafasi ya 12 kwenye ligi kuu ya kandanda msimu uliopita,
ndiye aliyeteuliwa mchezaji bora zaidi kwenye msimu
uliopita. Madoya aliwapiku wapinzani wenzake ikiwemo
meddie kagere wa Gor mahia na Patrick Matasi