.
13th January, 2018
Hii leo kwenye makala yetu ya kila jumamosi ya Tembea Kenya,
tunaangazia mkahawa mmoja ulioko kwenye msitu wa mlima Kenya.
Mkawaha wa Serena Mountain Lodge unazid
kuwavutia wengi kutokana na mandhari yakuridhisha macho
na kutuliza moyo. Raquel Muigai alizuru eneo hilo na
kutupambia makala ya Tembea Kenya, wiki hii.