×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raia 9 wa Pakistan wakamatwa na polisi Mombasa

10th January, 2018

Raia 9 wanaoaminika kutoka taifa la Pakistan wamekamatwa na maafisa wa polisi  jijini Mombasa kulingana na kamanda wa polisi kaunti ya Mombasa Jonstone Ipara tisa hao wamekuwa nchini kwa zaidi ya mwaka moja na wamekuwa wakiendeleza biashara ya kuuza vyakula mbalimbali kinyume cha sheria.

.
RELATED VIDEOS