Mzozo wa hospitali ya St Mary wazidi kutokota

KTN Leo | Wednesday 10 Jan 2018 7:12 pm

Mzozo unaohusisha usimamizi wa hospitali ya misheni ya St Marys hapa Nairobi sasa umechukua mkondo mpya baada ya zaidi ya wanafunzi 160 wa shule iliyo kwenye hospitali hiyo kufurushwa na watu wanaodaiwa kuwa wahuni wa kukodiwa.