Unga wa mahindi wapanda

KTN Leo | Wednesday 10 Jan 2018 7:07 pm

Athari za kukamilika kwa muda wa ruzuku ya unga wa bei nafuu nchini zinaendelea kushuhudiwa nchini huku wadau kwa sekta ya uzalishaji mahindi na unga wakionya kuwa wakenya wajitayarishe kwa bei za juu zaidi za mahindi.