×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uvutaji wa tumbaku aina ya Shisha yapigwa marufuku nchini Kenya

28th December, 2017

Ni rasmi kwamba uvutaji wa mseto wa tumbaku uliotiwa ladha na viungo vingine almaarufu shisha imeharamishwa nchini. Wakenya wamepokea habari hizi kwa hisia mseto baada ya nakala ya sheria mpya inayofanya marufuku uvutaji wa shisha kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii.  Mark Namaswa ana maelezo kamili.

.
RELATED VIDEOS