×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mavutano yashuhudiwa katika hospitali ya St Mary's kutoka kwa wafanyikazi wapya na wa kale

28th December, 2017

Hospitali ya kimishenari ya St Mary’s katika eneo bunge la Langáta jijini Nairobi liligeuka eneo la kupimana nguvu baina ya usimamizi wa kale na usimamizi mpya uliofika kutekeleza ilani ya mahakama ya kutaka usimamizi wa  zamani uondoke.  Baadhi ya matabibu walifurushwa huku wagonjwa wakisalia bila matibabu yoyote. Willy Lusige anaarifu. Ndivyo mambo yalivyokuwa katika hospitali ya St Mary, katika eneo la Langáta. Usimamizi mpya uliingia kwa vishindo na wafanyikazi wapya.  Nao wafanyikazi wa kale waliojaribu kuzuia ujio huo mpya wakifahamu maana ya methali mwenye nguvu mpishe.

.
RELATED VIDEOS