27th December, 2017
Waziri wa elimu Fred Matiang’i ameendelea kulaumiwa kuhusiana na matokeo ya mtihani wa kitaifa wa KCSE huku sasa baadhi ya wabunge wa upinzani wakimtaka ajiuzulu la sivyo wawasilishe mswada wa kutokuwa na imani naye bungeni. Shadrack mitty na mengi zaidi