×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Eugene Wamalwa atimuliwa kwa hafla ya kusheherekea utamaduni wa Maragoli eneo Vihiga

26th December, 2017

Kizaazaa kimeshuhudiwa huko vihiga, wakati waziri wa maji Eugene Wamalwa alipotimuliwa kwenye hafla ya kusheherekea tamaduni ya jamii ya Maragoli. Wakaazi waliokuwa na ghadhabu walimzomea baadhi yao wakipiga mawe gari lake na kuwalazimu walinzi wake kufyatua risasi hewani kutoa fursa kwa dereva wake kutoroka ghadhabu za wakaazi hao. Geff Kirui za maelezo zaidi

.
RELATED VIDEOS