×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN LEO : Madaktari katika hospitali za kibanfsi watishia mgomo

8th December, 2016

Madaktari 290 wenye mkataba wa kandarasi hospitali kuu ya Kenyatta wametangaza kuondoa huduma zao hospitalini humo huku mgomo wa madaktari ukiingia siku ya siku ya nne baada ya serikali ya Jubilee kushindwa kuukwamua. Haya yakijiri, waziri wa afya Cleopa Mailu aliendelea na mbinu za kuwabembeleza  wauguzi hao hadi jioni hii bila mafanikio. Mark Namaswa na taarifa.

.
RELATED VIDEOS