.
7th December, 2016
Muungano wa madaktari KMPDU umetishia kutoendelea na mazungumzo na serikali iwapo matakwa yao hayatatimizwa sasa ikibainika mahakama imeagiza kukamatwa kwa viongozi wao. Haya yanajiri baada ya mazungumzo ya karibu siku nzima na mahakama moja kuharamisha mgomo huo na kuagiza kukamatwa kwa viongozi wa madaktari.