.
7th December, 2016
Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyikazi Francis Atwoli amekariri kwamba kukwama kwa mazungumzo baina ya serikali na madaktari ni jambo la kusikitisha, akisema kwamba serikali ilikuwa na muda mwingi wa kutafuta suluhu tangu wafanyikazi hao watoe notisi ya mgomo.