.
7th December, 2016
Viongozi wa upinzani Raila Odinga wa ODM na Musalia Mudavadi wa ANC wanaitaka serikali kuheshimu mkataba uliowekwa baina yao na madaktari. Viongozi hao walizungumza huko Nanyuki mapema leo, wakisema kwamba ni aibu kwa madaktari kufanya mgomoni huku mamilioni ya fedha zinafujwa.