×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Kinara wa CORD Raila Odinga asema yuko tayari kuungana na Kinara wa ANC Musalia Mudavadi

6th December, 2016

Kinara wa CORD Raila Odinga amesema yuko tayari kuungana na kinara wa ANC Musalia Mudavadi ili kuibandua serikali ya Jubilee. Viongozi hao walijumuika katika kaunti ya Laikipia wakitangaza kujuta kutengana kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Haya yanajiri huku rais Kenyatta na naibu wake wakikita kambi katika ngome ya kisiasa eneo la mashariki ngome ya kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka.

.
RELATED VIDEOS