×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Katibu mkuu wa vyama vya wafanyikazi Francis Atwoli akosoa serikali ya Jubilee kuhusu mgomo

5th December, 2016

Katibu mkuu wa vyama vya wafanyikazi nchini Francis Atwoli amekosoa serikali ya Jubilee kwa mgomo wa kitaifa wa madaktari na wauguzi. Atwoli amemlaumu rais kenyatta na serikali yake kwa kutozingatia majadiliano ya kukomesha mgomo kwa wakati uliofaa jinsi walivyokuwa wakifanya watangulizi wao marais wastaafu Mwai Kibaki na Daniel Toroitich  Arap Moi. Atwoli alisema hayo alipokuwa akizungumza na wazee wajamii ya Waluhya kutoka Busia.

.
RELATED VIDEOS