5th December, 2016
Maafisa wa polisi wawatawanya wahudumu wa afya waliokuwa wakiendeleza mgomo wao mjini Nairobi. Wagonjwa wapitia wakati mgumu katika sehemu mbalimbali nchini kutokana na mgomo wa wahudumu wa afya na waziri wa elmu Fred Matiang’i asema kuwa walimu hawataajiriwa bila kibali cha tume ya huduma za walimu