3rd December, 2016
Hebu tafakari baba, mama na watoto watatu wanaishi na ulemavu wa kusikia. Ndio hali ya familia moja katika mtaa mmoja unaopakana na Imara Daima jijini Nairobi.Ulimwengu unapoadhimisha siku ya walemavu nchini Sycilia Wakesho anaangazia changamoto zinazopitiwa na familia hiyo.