.
3rd December, 2016
Waziri wa Elimu DKT. Fred Matiangi na viongozi wa kidini wamesema pana haja ya kukabiliana na maovu katika jamii ambayo yanaathiri ufanisi wa Kenya katika nyanja mbalimbali. Wakizungumza katika maombi aliyofanyiwa jaji mkuu nchini David Maraga nyumbani kwake, viongozi wa kidini wamesema kuwa idara ya mahakma inatakiwa kutakaswa. Maombi hayo yaliendeshwa na kanisa la SDA ambalo Maraga hushiriki ibada