×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Bi. Anne Waiguru akutana na Rais Uhuru Kenyatta akitua eneo la kati mwa nchi, 29/11/16

29th November, 2016

Rais Uhuru Kenyatta yuko ziarani kukagua miradi ya maendeleo na kuwahutubia wananchi katika maeneo ya kati mwa Kenya. Rais aliye kwenye siku ya pili akizuru kaunti nne za eneo hilo ameipa ziara hiyo umuhimu kutokana na kwamba ni ngome ya chama cha Jubilee ili kuwarai kumpigia kura mwaka ujao. Rais Kenyatta alikutana na Bi Martha Karua alitangaza kuwania ugavana katika kaunti ya Kirinyaga sawa na Bi. Anne Waiguru ambaye yumo katika kinyanganyiro hicho

.
RELATED VIDEOS