×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Mwanahabari wa runinga ya KTN Joy Doreen Biira aachiliwa na afisa wa polisi wa Uganda

28th November, 2016

Mwanahabari wa KTN News Joy Doreen Biira ameachilia na maafisa polisi nchini Uganda lakini atafunguliwa mashataka ya ugaidi. Kesi ya Joy itasikizwa tarehe saba Disemba. Joy alikamatwa na mfalme wa Rwenzururu magharibi mwa Uganda baada ya makabiliano kuzuka katika ya maafisa wa polisi na walinzi wa mfalme huyo. Msemaji wa polisi Felix Kaweesi amesema kuwa joy alikamatwa baada ya kutuma picha za mapigano katika mitandao kinyume cha sharia.

.
RELATED VIDEOS