×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Gavana wa Kilifi Amason Kingi ajiwasilisha mbele ya kamati ya EACC, 28/11/16

28th November, 2016

Gavana wa Kilifi Amason Jeffa Kingi leo alifika katika tume ya maadili inayopambana na ufisadi EACC baada ya kuagizwa kufanya hivyo. Kingi ambaye aliandamana na wanasiasa mbalimbali aliwasili katika EACC na kuchukua muda mrefu kusema anayojua kuhusu ufisadi wa shilingi milioni 51 unaodaiwa kufanyika katika kaunti yake. Baadhi ya wanasiasa wamemtaka Kingi ajiuzulu kutokana na madai kuwa kaunti yake inakabiliwa na ufisadi mkubwa 

.
RELATED VIDEOS