×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Aliyekuwa naibu wa NYS Harakhe Adan atiwa mbaroni kuhusiana na ufisadi, 28/11/16

28th November, 2016

Aliyekuwa naibu mkurugenzi wa NYS Harakhe Adan na aliyekuwa afisa  katika wizara ya ugatuzi Hassan Noor wamekanusha mashtaka yanayowakabili ya kutoa zabuni za NYS kinyume na sheria walipokuwa afisini. Wawili hao walikuwa waliachiliwa mahakamani kwa dhamana ya shilingi milioni moja baada ya kukanusha mashtaka yaliyowasilishwa dhidi yao na tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC. Harakhe ametajwa na mashahidi wengi kuwa alichangia kwa njia moja au nyingine kupotea kwa mamilioni fedha za NYS. Mahakama ilikuwa imetoa kibali cha kumkamata Harakhe baada ya kuonekana kutoshirikiana na vyombo vilivyokuwa vikichunguza sakata ya NYS

.
RELATED VIDEOS