28th November, 2016
Sakata ya ubadhirifu ya mali ya umma imewaacha wengi wa Wakenya na maswali mengi kuliko majibu. Washukiwa wakuu katika ufujaji wa fedha katika taasisi ya idara ya vijana ya NYS hajatambuliwa kikamilifu mbele ya Wakenya wanaotozwa ushuru. Je, fedha za NYS ziliibiwa vipi? Hapa kionjo cha makala maalum ya vitambi vya NYS na Hussein Mohamed