×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Rais Uhuru Kenyatta apuuzia mbali madai yakuwa wakaazi wa Milima Kenya kususia uchaguzi

28th November, 2016

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wamepuzilia bali madai kuwa wapiga kura katika eneo la mlima Kenya watasusia kupiga kura mwaka ujao kutokana na jinsi rais hajakuwa akizuru eneo hilo. Viongozi hao ambao walianzisha ziara ya siku mbili katika eneo hilo walijitetea kwa kusema kuwa madai hayo yanaenezwa na wapinzani wao. Chris Thairu anaarifu kuhusu ziara ya kisiasa wakuu wa nchi

.
RELATED VIDEOS