KTN Leo: Kisengerenyuma tukiangazia Bi Esther Passaris 27/11/2016
27th November, 2016
Katika kisengerenyuma tunaangazia Bi Esther Passaris mfanyibiashara na vile vile ametangaza kuwavia ugavana katika kaunti ya Nairobi. Hebu tutazame Bi Passaris ambaye yuko na miaka 52 sasa alivyokuwa tangu utotoni