×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTNLeo: Gavana Amason Kingi ahojiwa kupotea kwa mamilioni ya fedha katika kaunti ya Kilifi

27th November, 2016

Sakata ya kupotea kwa mamilioni ya fedha katika kaunti ya Kilifi ikizidi kurindima, Gavana Amason Jeffa Kingi sasa anatarajiwa kufika mbele ya tume ya kupambana na ufisadi nchini kuelezea anayoyajua kuhusiana na ufujaji huo wa fedha. Kingi atakuwa mgeni wa tume hiyo hapo kesho siku chache tu baada ya kushtaki kampuni zilizotajwa katika sakata hiyo pamoja na wakurugenzi wake. Francis ontwoma anaarifu

.
RELATED VIDEOS