.
26th November, 2016
Seneta wa Kaunti ya Baringo Gedion Moi amesema kuwa chama cha Jubilee hakitavunjiliwa mbali na kujiunga na chama cha Jubilee katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika hafla ya kupokea maoni kuhusiana na mswada wa madini na raslimali Moi alisema kuwa muungano wa National Super Alliance ni baadhi tu ya mambo ambayo kanu huenda ikayafikiria katika uchaguzi mkuu ujao