×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maandamano Kilifi huku kundi moja likimtaka Uhuru na Ruto kujiondoa

24th November, 2016

Maandamano yalishuhudiwa nje ya afisi   ya  Gavana wa Kilifi Amason Kingi baada ya mvutano wa makundi mawili kujiri. Mvutano huu ulioshuhdiwa kwa takriban saa nne ulisistisha shughuli za usafiri na uchukuzi katika mji wa Kilifi, kundi moja lilokuwa likimshikiniza gavana wa Kilifi kujiondoa lilianza msafara wake wa maandamano katika eneo la Kibaoni hadi katika afisi za gavana pale ambapo walikumbana na kundi jingine lilomtaka Uhuru na Ruto kujiondoa na hapo mtafuruku ukaanza na kuwabidi maafisa wa polisi kuingilia kati.  Biashara na shughuli  zilizistishwa huku maafisa wa usalama wakijaribu kusistisha mvutano huo.

.
RELATED VIDEOS