.
23rd November, 2016
Gavana wa Mombasa Hassan Joho amemuambia naibu rais William Ruto kukoma kuzungumzia masomo yake, akisema kwamba hawana cha kupimania nguvu na Ruto. Joho aliyasema hayo kwenye mkutano uliohudhuriwa na kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga kama anavyoripoti mwanahabari wetu wa pwani, Francis Mtalaki.