KTN Leo: Kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale asema Raila hapaswi kuongelea ufisadi nchini
23rd November, 2016
Kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale jioni hii amemtaja Raila kuwa kiongozi asiyeweza kuzungumzia masuala ya ufisadi, akimlaumu Raila kwa kuendelea kuonyesha unafiki kwenye vita dhidi ya ufisadi nchini.