×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Kinara wa CORD Raila Odinga alaumu serikali kwa kuwatupilia mbali wananchi walemavu nchini

22nd November, 2016

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amesema kuwa chama chake tayari kimepiga hatua kwa msajili wa vyama vya siasa kikitaka viongozi walioasi kupokonywa nafasi zao za uongozi.  Wakati huo huo Raila ameilaumu serikali kwa kile anachokidai kwamba serikali ya Jubilee imewapuuza wananchi wanaoishi na ulemavu mbalimbali. Raila aliyasema hayo mapema leo katika jumba la Orange house hapa Nairobi, alipokutana na kikundi cha wananchi wanaoishi na ulemavu.

.
RELATED VIDEOS